Wednesday, July 11, 2018

Taarifa kwa Umma Kutoka Tamisemi 09 july 2018 kuhusu Watumishi waliokosa Uhamisho july 2018

Tamisemi ya Sema majina yalitolewa kwa watumishi waliomba kuhama ni baadhi tu ya Oradha ya Watumishi wote . Hivyo Tamisemi inawataka watumishi wote walioomba uhamisho kuwa na subira na watatoa Majina / Vibali vingine muda si Mrefu
Kwa maelezo zaidi unaweza tembelea Tamisemi Tamisemi Taarifa kwa umma

Taarifa kamili hii hapa chini


Tuesday, July 10, 2018

Orodha ya Majina ya Watumishi wa Afya waliopangiwa vituo vya kazi 09 july 2018

ORODHA YA MAJINA YA WATUMISHI WA AFYA WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA JULAI 2018

09 July 2018

Kupata majina yote bofya hapa >>> Majina yote download hapa