Showing posts with label Edu-News. Show all posts
Showing posts with label Edu-News. Show all posts

Saturday, April 27, 2019

Ajira mpya mbadala wa walimu April 2019 hizi hapa

Fungua link hii kupata list ya majina ya walimu ajira mpya mbdala 2019

Pata MAJINA YOTE BILA USUMBUFU HAPA >>>>AJIRA MBADALA ZA WALIMU APRIL 2019

Friday, January 4, 2019

Breaking News Matokeo ya kidato cha pili 2019 yametoka , haya hapa

Tizama hapa matokeo ya kidato cha pili mwaka 2019 haya hapa
pakua yote hapa >>>>http://41.59.85.99/results/2018/ftna/ftna.htm

Monday, August 20, 2018

Ajira mpya za walimu leo 20 August 2018

Tamisemi yatangaza ajira mpya za walimu leo tarehe 20 August 2018
Kupata majina yote tafadhali download hapa >>>>> Ajira mpya

Friday, August 10, 2018

ORODHA YA WATUMISHI WA SEKRETARIETI ZA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA WALIOHAMISHWA KUANZIA JULAI 2018-AGOSTI 2018

haya hapa majina kamili
download hapa bila ubabaishaji
>>>>>   orodha yote hii hapaa

Friday, August 3, 2018

Majina ya Watumishi wanaostahili kulipwa madai ya Malimbikizo ya Mishahara 02 August 2018

Bofya hapa kupata orodha yote , >>>



>>>> hapa   Orodha ya Mitihani

Tuesday, July 17, 2018

Ajira mpya za walimu 4840 july 2018 haya hapa majina

Tazama list ya ajira mpya za walimu hapa
Download pdf yako hapa
Bofya hapa
>>>>> Ajira mpya za walimu july 2018




>>>> Ajira mpya za walimu july 17 2018






Wednesday, July 11, 2018

Taarifa kwa Umma Kutoka Tamisemi 09 july 2018 kuhusu Watumishi waliokosa Uhamisho july 2018

Tamisemi ya Sema majina yalitolewa kwa watumishi waliomba kuhama ni baadhi tu ya Oradha ya Watumishi wote . Hivyo Tamisemi inawataka watumishi wote walioomba uhamisho kuwa na subira na watatoa Majina / Vibali vingine muda si Mrefu
Kwa maelezo zaidi unaweza tembelea Tamisemi Tamisemi Taarifa kwa umma

Taarifa kamili hii hapa chini


Tuesday, July 10, 2018

Orodha ya Majina ya Watumishi wa Afya waliopangiwa vituo vya kazi 09 july 2018

ORODHA YA MAJINA YA WATUMISHI WA AFYA WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA JULAI 2018

09 July 2018

Kupata majina yote bofya hapa >>> Majina yote download hapa

Wednesday, July 4, 2018

Breaking news Uhamisho wa watumisho mpya 04 july 2018

Watumishi wa Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa waliokubaliwa kuhama kuanzia tarehe 23/03/2018 hadi tarehe 30/06/2018     

Monday, May 14, 2018

Magufuli Awajibu Wanaokosoa Mpango wa Walimu wa Sekondari kupelekwa Shule za Msingi


 Magufuli Awajibu Wanaokosoa Mpango wa Walimu wa Sekondari kupelekwa Shule za Msingi
Imewekwa Tar.: May 3rd, 2018




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewajibu watanzania ambao wanakosoa mpango wa Serikali wa kuwapeleka walimu wa sekondari kufundisha shule ya msingi.

Rais Magufuli amesema kuwa kitendo hicho ni cha kawaida kwani hakiadhiri mishahara yao bali kinawapa muda mwingi walimu hao kufanya kazi nyingine za ziada.

“Wakati wa Nyerere walikuwa wanachukuliwa walimu wa UPE kwenda kufundisha shule za msingi. Sasa tunachukua wenye digrii.

"Kikubwa kinachoangaliwa ni mshahara wake tu.. Kwa sababu mshahara unapimwa si kwa vile unafundisha shule ya msingi, ni kutokana na Qualification zako.

"Tena kule ni kurahisi tu unaweza kufanya na mambo yako mengine.“alisema Rais Magufuli jana Mei 2, 2018 wakati akizungumza na wafanyakazi na wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa, kilichopo mkoani Iringa.

Rais Magufuli alitolea mfano wa nchi zinazotumia Maprofesa kufundisha shule ya msingi; “Ukienda nchi za Scandinavia utakuta maprofesa ndiyo wanafundisha chekechea, na mishahara yao ni mikubwa kuliko wanaofundisha chuo kikuu. Just mind set.”

Mwezi Februari mwaka huu serikali kupitia Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma ilitangaza kuwa baadhi ya walimu wa masomo ya sanaa kutoka shule za sekondari watapelekwa shule za msingi ili kukidhi mahitaji.